Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Elimu ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tanzania (TAHLISO) Geofrey Kiliba amewataka Watanzania hasa vijana kuwa makini dhidi ya matendo na maamuzi yao, akiwahimiza kulinda, kuombea ...
"Tanzania imekuwa kitovu cha amani na mshikamano wa kijamii barani Afrika na duniani kote", amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa ...
DIWANI wa Kata ya Puni Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi Jumanne Rajabu, ametaja kero sita kuu zinazowakabili ...
DIWANI wa Kata ya Puni, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhandisi Jumanne Rajabu, amewapongeza vijana wa bodaboda wa eneo ...
NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamad Chande, amewapa ushauri wa bure, vijana wanaohitimu katika Chuo cha Usimamizi wa ...
Naibu Waziri wa Nishati, Salome Makamba, amesema kuwa mradi wa upanuzi wa Kituo cha Kupokea na Kupoza Umeme cha Kinyerezi 1 ...
Mashabiki wa soka nchini wamepatiwa unafuu wa usafiri kuelekea Morocco kuishangilia timu ya taifa, Taifa Stars, inayotarajiwa kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON 2025) zinazoanza Desemba 21 ...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, amekutana na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, Yahya Bin Ahmed Okeish, kwa mazungumzo yenye lengo la kuimarisha sekta ya elimu na ...
KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Juma Mwenda amepokea makombe matano kutoka kwa timu za michezo mbalimbali za mamlaka hiyo zilizoshiriki na kushinda mashindano ya Shirikisho la ...
VIONGOZI mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) waliofika nyumbani kwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, eneo la Itega jijini Dodoma, kutoa salamu za pole kufuatia kifo chake ...
RAIS wa Marekani Donald Trump amewakosoa viongozi wa Ulaya kwa kuwaita dhaifu na kusema Marekani inaweza kupunguza msaada kwa Ukraine. Katika mahojiano ya kina na mtandao wa habari Politico, Trump ...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,George Simbachawene, ametoa angalizo kali kwa wananchi kutoshiriki kile kinachoelezwa kama “maandamano ya amani yasiyo na mipaka wala mwisho” yanayohamasishwa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results