Maelezo ya picha, Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergei Lavrov Waziri wa mambo ya nje Sergei Lavrov anasema kuwa Marekani inajaribu kuisambaratisha Urusi kimkakati kwa msaada wa Ukraine.